Bwawa la Nyumba ya MunguMv z F b ▲64y Nas.y
Bwawa lilivyo.
Bwawa la Nyumba ya Mungu limepatikana kwa lambo lililojengwa miaka ya 1960 katika wilaya ya Mwanga, mkoa wa Kilimanjaro (Tanzania) ili maji ya mto Kikuletwa na ya mto Ruvu yaweze kutumika kuzalisha umeme (8 MW).
Yaliyomo
- 1 Tazama pia
- 2 Tanbihi
- 3 Marejeo
- 4 Viungo vya nje
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
- Orodha ya maziwa ya Tanzania
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Öhman, May-Britt, Taming Exotic Beauties: Swedish Hydro Power Constructions in Tanzania in the Era of Development Assistance, 1960s - 1990s, Stockholm, 2007, PhD Thesis, http://www.diva-portal.org/smash/record.jsf?pid=diva2:12267
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- Tovuti ya Tanesco
| Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bwawa la Nyumba ya Mungu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |